Baba Mtakatifu Francisko amemteua Kardinali Paul Poupard, Rais Mstaafu wa Baraza la Kipapa la utamaduni, kuwa mwakilishi wake maalum katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 700 ya Mikutano ya Mababa watakatifu huko Avignon ,mji mmoja kusini mwa Ufaransa. Ratiba ya maadhimisho hayo inatarajiwa kuanza tarehe 23-25 Juni 2017.
Sr Angela rwezaula
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican
All the contents on this site are copyrighted ©. |